Tuesday 1 May 2012

RICH ONE ASHIKILIWA NA POLISI


Rich One kama anavyojulikana na mashabiki
walio wengi wabongo freva, akamatwa na
polisi kwa tuhuma za kufanya utapeli
kupitia Ali Kiba. Kwa mujibu wa
vyombo vya habari vinasema
Rich One ali'divert simu ya
msanii Alikiba hivyo akawa anapokea
akipigiwa na promota wanaomtaka Kiba
kufanya nae shoo, Rich One alipokea
advance za shoo akijifanya yeye ndio Alikiba
kwa kipindi kirefu na ndipo juzi kukamatwa
kwa tuhuma hizo.Kitendo hiki kinazihirisha
kuwa tabia kama hizi ufanywa na wajanja
wengi wa town na kupiga pesa kiulaiiiini.

No comments: