Monday 7 May 2012

Diamond kutua moro may 11, 2012


Yule mshindi wa Tuzo 3 za kili music awards 2012
"Diamond Platnun" ijumaa hii ya tarehe 11/05
atakinukisha mbaya ndani ya ukumbi wa Grones
'8-8' Morogoro kwa kiingilio cha
15,000/= viti vya kawaidan na 20,000/= kwa V.I.P

No comments:

Post a Comment