Monday 14 May 2012

CALI SWAG DISTRICT WAKALI WA "TEACH ME HOW TO DOUGIE"

Vijana toka Marekani waliojaribu kubadirisha swagga za muziki kwa style ya kipekee na kutokea kupendwa na wadau wengi wa muziki ulimwenguni, wajulikanao kama Cali Swag District. wakimaanisha kuwa Cali - Califonia, Swag - Swagga....Mwanzoni mwa mwaka jana walimpoteza mwenzao M-BONE aliyeuwawa kwa kupigwa risasi akiw ndani ya gari.
Wakali wa kudougie"Cali Swa District" katika pozi
Wakiwa katika moja ya video making ya dougie
Cali Swag District ft JD, B.o.B, Red Cafe & Bow Wow
"Teach Me How To Dougie (remix)

No comments: