Sunday 29 April 2012

YALIYOJILI KWENYE SHOW YA KILI MUSIC AWARDS 2012 - DODOMA

Juzi tarehe 27-04, wasanii walioshinda tuzo ya kilimanjaro
musicawards 2012 waliwasha moto kwa kupiga show kali 
mkoani Dodoma.Baadhi ya wasanii walioudhulia ni 
Diamond platnum, Ommy Dimpoz,Barnaba, AT na wengine wengi.
Msanii Ben Paul akitoa burudani katika tamasha hilo
 Msanii Barnaba Akitoa burudani kwa wapenzi wake
Msanii AT akibambia vilivyo katika Show ya 
Washindi wa Tuzo za Kili Uwanja wa Jamhuri Dodoma
Alikiba akiwa na Wacheza show wake 
 katika show hiyo ya kili music awards
 Diamond & Ommy Dimpoz kama kawa
Umati wa Wakazi wa Dodoma Wakiwa Kwa 
Wingi Katika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma
 Mashabiki wakiingia kwenye show hiyo.
Kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya Filauni, huyu jamaa inasemekana ni mwizi aliyekuwa anatafutw siku nyingi, juzi alidakwa na maaskari akijaribu kuingia kwenye onesho hilo lililofanyika juzi uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma, kiukweli jamaa alichezea kichapo cha kufa mtu.
 Hapa Askari wakimpandisha kwenye gari

No comments:

Post a Comment