Tuesday 24 April 2012

VIBONZO VYA FACEBOOK KATIKA MECHI YA CHELSEA NA BACA

 Hapa ilikuwa utabiri kabla ya mechi kuanza
kwa utabiri huu ulionesha kuwa Baca watawaadhibu
Chelsea kivyovyote vile.
Hii baada ya mechi kuisha na chelsea kuwa kidume
wa game hiyo taff kwa ushindi wa 3-2 kwa goli la
ugenini lakini katika gemu hiyo walifungana 2-2.

No comments:

Post a Comment