Sunday 22 April 2012

STAR WABONGO WAKIWA NJE YA BONGO

Baadhi ya wakinadada maarufu nchini Tanzania muonekano wao wa kula bata wakiwa ughaibuni.
Leo tunawaangalia wadada wawili Linnah na Jocket
 Mwanamitindo (Jocket Mwengelo) akiwa kwenye pozi
tofauti jijini New York nchini Marekani
Mwanamuziki (Linah Sanga) akiwa katika pozi
tofauti nchini Marekani alikokwenda
kufanya show mwanzoni mwa mwezi uliopita

No comments: