
Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akiweka saini
kwenye kitabu cha Maombolezo

Mbunge wa Urambo Magharibi,Mh. Athuman Juma Kapuya
akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo ya
Msanii nguli wa Filamu nchini,Marehemu Steven Kanumba

King Kikii akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo

Iman Madega akiweka saini kwenye kitabu cha Maombolezo


Mke wa Rais,Mama Salma Kikwete akimfariji
Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba
Mama Mzazi wa Marehemu Steven Kanumba




Mama Salma Kikwete akisalimiana na Baadhi ya
Waombolezaji wa Msiba wa Marehemu Steven Kanumba

Mama Mzazi wa Steven Kanumba.



Mama Salma Kikwete akizungumza na
Wasanii wa Bongo Movie jana jion.
Wasanii wa Bongo Movie jana jion.



Wema na Mzee Magali











Majuto na Chili wakiwasili



Happines Magese akiwasili msibani


No comments:
Post a Comment