Saturday 7 April 2012

BARNABA AMUENZI KANUMBA KWA KUMPA JINA LA STEVEN MWANAE

Habari tulizozipata hivi punde na pia zaweza kuwa ni 
habari za faraja zaidi baada ya msanii Barnaba wa THT 
kupata mtoto usiku wa kuamkia leo, kwa kuguswa na 
msiba wa aliyekuwa gwiji wa filamu nchini Steven Kanumba, 
Barnaba ameamua kumpa jina la Steven Barnabas mwanae huyo 
aliyezaliwa leo usiku kama ishara ya kumuenzi
 gwiji huyo wa filimu nchini.

No comments:

Post a Comment