Sunday 25 March 2012

YALIYOJILI KWENYE MECHI YA SIMBA NA ES SATIF

 Kikosi cha Simba
 Kikosi cha Es Satif
 Timu zote mbili zikipeana mkono wa kheri
 Mashabiki wa simba wakiwa na furaha baada ya mnyama kushinda
Mh. Sita, Mh. Sumaye, Mh. Zitto Kabwe na Mh. Aden Lage
walikuwepo kuipa support vijana wa Simba Sport Club
 a.k.a watoto wa msimbazi
Kocha wa simba kushoto Milovan Cirkovic akipeana mkono
 na kocha wa Es Satif, Alain Geiger baada ya mechi kumalizika
 Mashabiki wa Es Satif wakiwa na huzuni baada ya kichapo
walichopewa na simba cha 2-0
Ubao wa matangazo ukionesha matokeo
baada ya mechi kumalizika
 
Mashabiki wa simba wakishangilia kwa manjonjo
Hapa wadau wa msimbazi wakipata picha ya pamoja
 
Wachezaji wa simba wakishangilia baada ya game 
kumalizika na kushinda goli 2-0 dhidi ya ES SATIF
ya Algeria.Al Satif itawalazimu kutafuta ushindi wa 3-0 
iliwaweze kuvuka ngwe hiyo, kwenye mechi ya marudiano 
itayochezwa huku Algeria baada ya wiki mbili zijazo.
"PICHA KWA HISANI YA MICHUZI BLOG NA THE CHOICE"

No comments:

Post a Comment