Sunday 11 March 2012

DJ CLEO @ KIJITONYAMA POSTAL GROUND

Mtangazaji kutoka Times FM Sandrah akizungumza na 
wakazi wa jiji la Dar waliokuja kwenye show ya 
msanii na dj mkali kutoka South Africa DJ CLEO.
Dogo Janja akiwa na Madee kwa steji 
DJ Cleo akiwatizama mashabiki wake wa Tanzania 
 mashabiki kama kawa
 Sandrah & Aloy kutoka Times FM
 Dj D Ommy akifanya mambo
 Ommy Dimpoz mzee wa nai nai kama kawa
 TMK Wanaume Family kwa steji
Dogo Janjaro akizungumza na mashabiki wake
Source: Djchoka blogspot

No comments: