Monday 6 February 2012

MECHI YA WANAMUZIKI NA WAIGIZAJI

Picture
Mchezo wa mpira wa miguu kati ya wanamuziki na waigizaji 
umefanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini 
Dar es Salaam leo ili kuchangia walioathirika na 
mafuriko yaliotokea hivi karibuni jijini humo na 
kusababisha vifo na uharibifu wa mali.
Mgeni wa heshima katika pambano hilo alikuwa 
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadik.
Picture
Picture
Benchi la ufundi la timu ya Bongo Movie likogozwa na
Mzee Chilo kushoto, JB Steven, Saimon Mwakifwamba na Cheki Budi
Picture
Benchi la ufundi la Wanamuziki likiongozwa na 
Asha Baraka wa tatu kutoka kulia waliosimama na 
kulia ni MCD wa Twanga Pepeta, Yelo Masai wa 
FM Academia na kushoto ni Jose Mara wa Mapacha 
Watatu wakiwa pamoja na wachezaji na 
baadhi ya wanenguaji wa bendi tofauti

No comments: