Wednesday 29 February 2012

MAITI YAKUTWA MBELE YA NYUMBA YA RICK ROSS

Police wanamtafuta rapper Rick Ross kwa maelezo zaidi baada ya 
kukuta maiti ya mtu mwenye umri wa miaka 40 akiwa amuewawa 
kwa kupigwa risasi mbele ya nyumba ya Rick Ross pembeni ya geti 
la nyumba hiyo. Hata hivyo wakati tukio hilo limetokea Rick Ross 
hakuwepo mahali hapo (nyumbani kwake) ila kwa mujibu wa sheria 
Police wanamsaka Rick Ross kwa maelezo zaidi.

No comments:

Post a Comment