Monday, 19 December 2011

YALIYOJILI "SHIMIVUTA" MOROGORO

Shirikisho la Michezo ya Vyuo vikuu Tanzania (SHIMIVUTA), 
lililofanyika mkoani Morogoro mwanzoni mwa wiki iliyopita, 
baadhi ya vyuo vilivyoshiriki ni Mipango (IRDP), 
T.I.A, I.A, D.I.T, C.B.E, HOMBOLO, Mwl. NYERERE, L.G.T.I...
Michezo iliyochezwa ni Mbio za mita 100, 200, 400, 800, 1500 na Relay. 
Mpira wa miguu, mpira wa pete, basketball..
Mbio mita 100 na 200 kwa wanawake na wanaume
walichukua chuo cha Mipango (IRDP),
Mita 400 walichukua HOMBOLO, mita 800 Mipango.
Football - CBE nafasi ya pili ilichukuliwa na Mipango
Netball - CBE nafasi ya pili ilishikwa na HOMBOLO
 
Baadhi ya vikombe vilivyoshindaniwa
 
Mwinyikheri Tawakal (mshindi # 1 mita 100 & 200)
kutoka chuo cha mipango - Dodoma
 
vijana wa Mipango walioshiriki Basketball + Liadha
Vijana wa Mipango walioshiriki Liadha wakiwa na kombe lao
washiriki wakijiandaa kurudi Dodoma (Chuoni)
 
Vijana wa mipango wakiwa wamewasili Chuoni - Mipango
Samahani kwa kuwa sikuweza pata picha za matukio yote..

No comments: