Wahitimu
Kama Wanavyoonekana katika Picha wakipiga Picha Kwaajili ya
Ukumbusho.

Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Mh
Mkapa, Makamu Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Prof Idris Kikula na Makamu
Wake Wakiwasili Kwenye Meza Kuu Tayari Kwa Kuanza Sherehe za Mahafali

Baadhi ya Ndugu, Jamaa na Marafiki wa
wahitimu wakiwa chini ya mti kujikinga na jua maana jua lilikua kali
wakati sherehe za kuwatunuku wahitimu zikiendelea

Kiongozi Wa timu ya Viongozi Wa Juu
Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma Katika Maandamano ya kuelekea kwenye Mahafali
ya Chuo Kikuu Cha Dodoma

Brass Band kutoka Jeshi la Polisi likiongoza maandamano ambayo yalikua yakielekea kwenye sehemu ya mahafali
Sehemu ya Wahitimu kama wanavyoonekana hapo ilikua burudani sana leo katika historia ya UDOM
Viongozi Wa Chuo Kikuu Cha Dodoma
Wakiongozwa Na Mkuu Wa Chuo Mh Mkapa Wakiwa wamesimama Wakati Wimbo Wa
Taifa unaimbwa

Msafara wa Mkuu Wa Chuo Kikuu Cha
Dodoma Mh Benjamni William Mkapa Ukiwa unaingia Kwenye Viwanja Vya Chuo
Kikuu Cha Dodoma Tayari kwa kuwatunuku Wahitimu

Picha kwa hisani ya Joseph Lukaza Blog
No comments:
Post a Comment