Monday 21 November 2011

JAMAN BODABODA ZATUMALIZA

Samahani ni kwamba sijapewa taarifa kwa kina kwamba 
hii ajali imetokea wapi, saa ngapi, na ni kwanini.
sababu kuna mtu ameni'tag kupitia facebook 
bila kunipa habari kwa kina zaidi
ila ukitazama hii picha inaonesha watu waliopoteza maisha ni 
wawili ambapo mmoja (bila shaka ni dereva) amekatika kiwiliwili chote

No comments: