Tuesday 18 October 2011

KILA LA KHERI MISS SALHA ISRAEL

 
Naibu Waziri wa Uchukuzi, Athuman Mfutakamba akimkabidhi bendera ya taifa Vodacom Miss Tanzania 2011, Salha Israel kwa ajili ya kwenda kuiwakilisha Tanzania katika fainali za mashindano ya urembo ya Dunia yatakayofanyika jijini London Novemba 6. Mrembo huyo anatarajiwa kuondoka Oktoba 19. Kushoto ni Mkuu wa udhamini wa Vodacom, George Rwehumbiza na Mlezi wa kamati ya miss Tanzania, Emmanuel Ole Naiko. Hafla hiyo ilifanyika jijini Dar es Salaam jana

No comments:

Post a Comment