MUZIKI NA MAISHA
"FROM THE STREET TO PARLIAMENT"
Ni kitabu kitakachohusu maisha yake ya awali na hivi sasa alipo,
pia kitaelezea juu ya harakati zake kuhusu musiki wa bongoflava.
Kaa tayari kwa kujipatia kopi hiyo. Kitakuwa mtaani kuanzia mwezi Novemba
No comments:
Post a Comment