Sunday, 16 October 2011

INTER COLLEGE BASH@THE CLUB

Wale wakali wa burudani Moro - Town si wengine ni Ze Club,
Wameandaa The fantastic Inter College Bush 28October
Kwa nauli ya 8000 Ticket na 10000 kwa mlangoni..
Itakayosindikizwa na wasanii kibao wakiweno Barnaba na Linnah,
Izzo business bila kusahau mtu mzima Dudubaya a.k.a The Dudu atakinukisha kama kawa
Bila kusahau wakali wengine kutoka Moro-Town
Nyote mnakaribishwa!!!!!

1 comment:

Anonymous said...

Hiki kitu si chakukosa na wish niwepo home ground ili nile burudani za ukweli kutoka kwa Izzo Bussness baby