Wednesday, 5 October 2011

50CENT @ DENTIST TO SEE HIS FACE

 
Baada ya kutoridhika na sura yake hasa sehemu ya mdomo, 50 cent aamua kwenda kuchek tena ikiwa ni kurekebisha tena taya yake aliyopigwa risasi ili iwe katika hali nzuri.
"I'm at the dentist again I can't feel my face
50 amefunguka kupitia facebook

No comments: