Thursday 4 August 2011

THE WORLD'S BIGGEST FAMILY

Ni familia ya bwana Ziona Chana, ambaye ana wake 39, watoto 94 na wajukuu 33. Hata hivyo bwana Ziona anasema ni baraka kubwa aliyonayo toka kwa Mungu kuwa na familia kubwa kiasi hicho na ahitaji msaada wowote ile kutoka serikalini. Mr. Ziona mwenye umri wa miaka 66 raia wa India, hivi sasa anaishi na familia yake Baktawang Mizoran, India katika njiapanda ya kwenda nchini Burma na Bangladesh...wanaishi kwenye nyumba yenye vyumba 100. Ziona wakati ana miaka 17 alioa wake 10 kwa mwaka mmoja, mwanamke wake wa kwanza amemzidi miaka 3 maana hiyo ana miaka 69.
 Mr Ziona na familia yake
 baadhi ya wake zake wakiwa wameshika maandalizi ya chakula cha jioni
 Bedroom ya Mr Ziona na wakezake
 Ziona na wakezake
Nyumba wanayoishi

No comments:

Post a Comment