Wednesday 10 August 2011

SAM LOCCO EFE IS DEAD

 
Sam Loco Efe muigizaji maarufu nchini Nigeria amefariki dunia jumpili hii 07 august, taarifa kutoka kwenye blog maarufu inayohusika na movies nchini Nigeria (NOLLYWOOD BY MINDSPACE) zinasema kuwa Efe alifariki dunia akiwa kwenye process za kucheza movie iliyopewa jina la Unknown Prophet, mwili wake ulikutwa baada ya mlango wa chumba cha hotel alipokuwa amelala kufunguliwa kwa nguvu. Sam Efe amekufa akiwa na miaka 66 ni mwenyeji wa Benin, Edo State Nigeria. Mzaliwa wa Enugu, na amekulia Abakaliki...Aliweza kuiigiza majukwaani, TV na kupitia filamu, ni mwenyekipaji cha ali ya juu atakumbukwa kwa mengi sana ikiwemo mchango wake wa kurekebisha kiingereza na lugha asilia. Ameshiriki takribani filamu  130 zikiwemo Heart of stone, Husband My Foot, Away Match na Brain Box.

No comments: