Wednesday 27 July 2011

LUDA & DISTURBING THA PEACE!!

Mtu mzima Ludacriss atua bongo July 30 na timu yake nzima ya Disturbing tha Peace kwenye msimu wa Serengeti Fiesta 2011 Itayofanyika katika viwanja vya Leaders Club.
Tamasha hilo ambalo litajumuisha wasanii wengi wakizazi kipya kutoka TZ.
Ludacriss
DISTURBING THA PEACE CREW

No comments: