Sunday 24 July 2011

KWELI DUNIA IMEFIKA MWISHO!!

Nitukio ambalo huwezi amini kama kweli limetokea...Wengi wenu watafikiria kama movie au picha iliyo'editiwa..Lah hasha tukio hili limetokea kweli nchini kenya ambapo majambazi waliteka gari la abiria na kumuamuru dereva akanyage vichwa vya watu (abiria) ambao walipangwa barabarani..
hivyo basi dereva alikanyaga vyichwa vya abiria hao kama inavyoonekana hapo..
Tukio hili la kinyama lililoua watu zaidi ya 50 linaashilia wazi kuwa tunako elekea ni mwisho wa dunia.

2 comments:

  1. dude imetokea lini??hebu nijuze zaidi

    ReplyDelete
  2. mmh hii hali inatisha kwakweli, ningekuwa mimi ndo dereva bora waniue but nicngefanya hivyo..mwenyezi mungu azilaze roho za marehemu mahali pema peponi..AMENI

    ReplyDelete