Wednesday 6 July 2011

FIESTA "HAINA MAJOTRO" MORO-TOWN

 
 kwa mwendo huu majotroo yatoke wapi
ilikuwa raha yakutosha show ilifana hasikwambie mtu...wasanii waliimba kwa hisia zote sababu ya support kubwa iliyokuwepo toka kwa mashabiki...ilikusanya takribani ya watu 20000.
Pongezi za kutosha kwa waandaaji wa show kwa kweli wamejitahidi sana kuwapa wakazi wa mji kasoro burudani hisiyo kifani.
nipo na Baboo
 
 niko na wana tukicheki show
 with ma fan Dj Choka
show luv with Linnah

zilikuwa stories kabla mwanakwetu "belle 9"
hajakinukisha kwa stage
 
 Belle 9 akidondosha ladha pale kati
Jembe liki'drop kwa stage after makamuzi
Godzilla akikinukisha kwa stage
 a.k.a Weusi
from left ni Lord,G-nako & Joh
 Diamond akijiandaa kutoa ladha kwa mashabiki
 Diamond akipewa supoort na bibie Wema na Dancers wake


No comments:

Post a Comment