Wednesday 22 June 2011

KILICHOMFANYA NYERERE ACHUKIE SOCCER

kwa kweli tumetoka mbali sana..hii ni timu ya Taifa ya miaka ya 1970's..hapa mgeni rasmi akipeana mikono na wachezaji ilikuwa uwanja wa taifa.
Inasemekana ni moja ya sababu zilizopelekea Mwl. Julius k. Nyerere kushindwa kuamini na kuweka nia kwenye mpira wa miguu.
Inawezakuwa ndicho kilichosababisha tuko nyuma hadi leo hii katika safu ya soccer

No comments: