Friday 14 January 2011

NELLY AJA TENA NA KELLY

Mwanamuziki kutoka kundi la ST. LUNATICS nchini marekani "Nelly" aja na kibao kipya ambachokamshirikisha mwanadada Kelly Rowland kinachoitwa "GONE" chini ya producer Jim Jonsin aliyetengeneza album hiyo aliyoiita "Nelly 5.0", kibao hicho kitaachiwa hivi punde mwanzoni mwa mwaka huu..Amesema kitabamba zaidi ya DILEMMA alichofanya na mwanadada huyo miaka ya 2002 na kukaa Billboards kwa kipindi kirefu.
Mbali na Kelly, pia ameshirikiana na T.I, Dj Khalid, Chris Brown, T-Pian, Birdman, Plies na mwanadada Keri Hilson kwenye album yake hiyo mpya anayotarajia kuitoa miezi hii ya karibuni.
Nelly na Kelly kwenye Dilemma Video
Album mpya ya Nelly aliyoiita Nelly 5.0
Moja ya Clib kwenye video ya Gone

Clib ya kwenye video ya Gone


No comments: