Friday 21 January 2011

MR. BLUE ABOA WADAU

Msanii wa muziki wa kizazi kipya aliyetamba sana kwenye game miaka ya 2000 na vibao vyake kama mapozi, kiss kiss na blue blue.
Mr. Blue aka Kabaisor au Babelony kama anavyopenda kujiita mwenyewe, Ameboa jopo la mashabiki jumapili iliyopita baada ya kuzindua video yake ya Tupo pamoja. Kiukweli watu wame'dis ile mbaya sababu jamaa aliipamba sana shooting hiyo kuwa itakuwa isiyo kifana na kuharibu kabisa. Kiufupi video hiyo amechukua baadhi ya vipoande alivyokuwa Cape Town alikukuwa akipiga show. Wdau wameongea mengi na wapo waliosema jamaa kaishiwa kabisa. Ila leo mcha Bysor kahojiwa na B-12 kasema nimatokeo tu so mashabiki wake msife moyo ndio anakuja upya kwahiyo mkae tayari kumpokea.

2 comments:

  1. duh kazingua kinyama

    ReplyDelete
  2. kaleta za kizamani kijana hana jipya wa nini

    ReplyDelete