Monday, 27 December 2010

YALIYOJILI TAMASHA LA VODA DODOMA

 
Kironga Athuman wa st. John (mshindi wa kwanza wa Hip Hop) alichukua sh. 100000 kwa njia ya M-Pesa, kulia ni Afisa masoko na mauzo Vodacom mkoa wa Dodoma ndg. Minja
Wafanyakazi wa Kitemba hotel wakiwasili ukumbini
 Hapa wakala wakiwakabidhi line na baadhi ya vipeperushi
Mnyamwezi nikishow luv na baadhi ya wakala wa vodacom M-pesa
Hapa nikishow luv na Dokta Kifimbo pia ni Mkurugezi wa Kifimbo FM
Mmoja wa watangazaji wa Kifimbo Fm akishow luv na Sajna
Kijana wa voda M-pesa akishowluv na Sajna
Joh niki'show love na Hakim 5
Huwezi amini kijana nilijinyakulia shilingi 30000 kwa njia ya M-pesa baada ya kuwa mshindi wa pili kupitia droo iliyochezeshwa ukumbini hapo. Ambapo mshindi wa kwanza alijinyakulia 50000, watatu 20000
Binti aliyeibuka mshindi wa kwanza na kujinjakulia 50000 njia ya M-pesa akikabidhiwa na wakala
Hapa wakala akinikabidhi 30000 kwa njia ya M-pesa baada ya kuibuka mshindi wa pili


1 comment:

Anonymous said...

Asante kwa habari ya kuvutia