Wednesday 4 August 2010

HATIMAE KUJIPANGUSA KUPO HATIANI

Nibaada ya kuzunguka mikoa mbalimbali ndani ya Tanzania na Zanzibar, hatimae FIESTA 2010 yenye slogan ya 'JIPANGUSE' kufikia mwisho jumamosi hii ya tarehe 7 ndani ya viwanja vya Leaders Club..

No comments: