Wednesday, 4 March 2015

Ona kijana anayeweza kucheza na photoshop

Kijana wa kiajentina, Michael De Pasquale...ameweza kuonesha uwezo wake wa kucheza na programu za picha maarufu kama "Photoshop" na ku'editpicha ambazo kwa 100% zinaweza kuchanganya ubongo wako au macho yako...

No comments:

Post a Comment