Tuesday, 3 December 2013

Video:Jamaa aliyekaa majini masaa 60 baada ya meli kuzama na kuokolewa akiwa hai

Mpishi wa kwenye meli iliyesadikika kukaa kwenye majini kwa masaa 60 ambayo ni takribani ya siku tatu, Harrison Okene aliokolewa na kikundi cha waokoaji akiwa hai...Mr. Okene alisalimika kwa kuvaa "life Jacket" wakati meli hiyo ikizama na baadae aliona mwanga wa tochi kutoka kwa waokoaji na ndipo akajisogeza na kuweza kuokolewa. Kwa maelezo aliyoyatoa baada ya mahojiano aliyofanya na vyombo vya habari ikiwemo BBC, Harrison amesema hakuweza kula kwa siku zote hizo zaidi ya kunywa soda aina ya Coca Cola.
TIZAMA VIDEO HIYO

No comments:

Post a Comment