Wednesday, 6 November 2013

Ziara ya kombe la dunia Afrika

Kombe la shirikisho la Kimataifa la Soka (FIFA) litakaloshindaniwa katika fainali za kombe la Dunia mwakani nchini Brazil, litawasili jijini hapa Dar es Salaam Novemba 29, mwaka huu ili kutoa fursa kwa mashabiki wa soka nchini kuliona.
Aidha, ziara ya kombe hilo mwaka huu inayofanywa na FIFA kwa kushirikiana na kampuni ya vinywaji ya Coca Cola, inafanyika katika nchi 88 na itadumu kwa miezi tisa, kabla ya kukabidhiwa kwa nchi mwenyeji (Brazil)…

No comments:

Post a Comment