Tuesday, 26 November 2013

Nov 26:Kumbukumbu ya Sharo Milionea

Leo Novemba 26 ni kumbukumbu ya ndugu yetu, jamaa yetu wa karibu sana na kipenzi cha wengi, Hussein Mkieti a.k.a Sharo Millionea ametimiza mwaka mmoja sasa tangu kifo chake mnamo mwaka jana kwa ajali ya gari ndogo aina ya Harrier huko Muheza mkoani Tanga.

Tulimpenda sana ila M/Mungu alimpenda zaidi...
 

R.I.P Sharo Millionea

No comments:

Post a Comment