Monday, 4 November 2013

Mcheck Dogo anayesemekana anatupia pamba za hatari

Ni mtoto mdogo mwenye kukadiriwa kuwa na umri wa miaka 6 au 7, ni mtoto ambaye mama yake mzazi ameamua kumfanya mwanae awe staa pasipo kuwa muigizaji ama mwanamuziki bali kwa kutupia pamba za hatari hatari na za gharama...ilikumfanya mdogo huyo kujulikana dunia nzima...

Wale wengi wanaomjua au kumfahamu zaidi bila shaka watakuwa wanajua nasemea dogo gani...kwa jina lake halisi anaitwa Albert ila kwa jina lake la kumjengea umaarufu anatumia "Bout2bfamous" katika mitandao ya kijamii hususani Instagram...


KUMCHECK KWENYE INSTAGRAM CLICK HAPA
"DOGO"

No comments:

Post a Comment