Wednesday, 6 November 2013

Izzo Bizness afungua Internet Cafe

Baada ya kujikita kwenye uwekezaji kama kuwa na duka la nguo za kiume na kufungua saluni ya kunyoa, sasa mkali huyo kutoka Mbeya "Izzo Bizness" ameamua kufungua sehemu ya kujipatia huduma ya mtandao "Internet Cafe".

No comments:

Post a Comment