Tuesday, 8 October 2013

Vijana wakamatwa na silaha wakijifunza ugaidi huko Mtwara

Jeshi la polisi mkoani Mtwara limefanikiwa kuwakamata vijana 11 wakiwa na baadhi ya siraha zikiwemo visu, mapanga pamoja na CD zilizokuwa na mbinu zote za kufundishia ugaidi huko mkoani Mtwara katika msitu uliopo mkoani humo.

CD izo zilizo na mafunzo ya Al-Shaabab, Al-Qaeda, kuunda Jeshi, zindukeni Zanzibar, mauaji ya Idd Amin na Mogadishu Sniper.

MAJINA YA VIJANA HAO

Hadi sasa watuhumiwa hao washafikishwa mahakamani na polisi bado wanaendelea na uchunguzi kujua kama kuna vikundi vingine vinavyojihusisha na vitendo vya kigaidi na pia kujua nani muhusika aliyewatuma vijana hao.

CHANZO: MDODOSAJI BLOG

No comments: