Thursday, 15 August 2013

Msanii Manaiki anavyofanya ufuska

Ni msanii chipukizi kwenye sanaa ya maigizo na muziki pia, anafahamika kwa jina la Manaiki Sanga ambaye inasemekana ni mtoto wa kigogo mmoja wa jiji DSM anayemiliki hotel moja maarufu iliyopo mitaa ya Magomeni DSM.
Manaiki pia inasemekana amejiunga na kundi la Ze Comedy Show linalofanya kazi na EATV...Jamaa amekua anakiburi cha kumlazimu kufanya ufuska huo kwa kile anachodai yeye kuwa anaweza kufanya lolote kwa kuwa pesa inaongea.
Mbali na wadhifu alionao jamaa huyo, pia ilishawahi kusikika kuwa anamtaka mwanadada WASTARA (mke wa marehemu Sajuki). Hivyo Wastara ameonywa na baadhi ya wadau wake kujihadhari na jamaa huyo mwenye pepo la uasherati.

No comments:

Post a Comment