Sunday, 28 April 2013

Ney wa Mitego avuta mkoko mpya

Baada ya kupata ajali mwanzoni mwa mwezi February akiwa na gari yake aina ya Alteza akitokea maeneo ya coco iliyoharibika kiasi cha kugharimu gharama nyingi za utengenezaji, msanii wa muziki wa kizazi kipya Ney wa mitego ameamua kununua gari lingine aina ya MARK X ni moja ya gari zenye muonekano mzuri ambayo kwa sasa show room inacheza kwenye Tshs 28-26 millioni. Ney ametupia ndinga hiyo kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii, hii inaonesha ya kuwa wasanii wananufaika na kazi ya sanaa wanayoifanya kwa sasa.
Hii ndiyo ndinga aliyopatanayo ajali

No comments:

Post a Comment