Msanii wa Hip Hop nchini Ney wa Mitego baada ya kusumbua kwenye baadhi ya mitandao ya kijamii na blogs mbalimbali kwa kuvuta mkoko mpya aina ya Mark X yenye thamani zaidi ya milioni 28 za kibongo, mapema leo imeripotiwa kuwa Ney pia amenunua bastola yake binafsi ya kujilinda na waarifu na wale wanaoweza kumdhuru.
Ney akionesha bastola yake
Ney akionesha funguo ya gari lake jipya (pichani)
safi sana ney nakukubali ile mbaya
ReplyDeletemudy makorokoro hapa ney kaza chalii yangu
ReplyDelete