Wednesday, 3 April 2013

JayDee vs Ben Pol through twitter

Baada ya mwanadada Jay Dee kutweet tweets ambazo inasemekana zinawahusu Clouds media siku chache na kutoa maneno ya kudhihirisha kuwa yeye ni nguli na hana taabu hata wakikataa kucheza nyimbo zake redion....
Ameamua kusanuka tena kwa wasanii wawili "Ben Pol na Linnah" kuwa wamepewa pesa na kukatazwa kushiriki kwenye show yake @ nyumbani lounge. Kwa madai yanayoonesha kuwa Jay Dee alipatana na wasanii hao ili waweze kuburudisha katika ukumbi wake wa Nyumbani Lounge na hawakuweza kufika.
 
Baada ya tweet hizo Ben Pol aliamua kufunguka nayeye kupitia mtandao huo na kutweet kama ifuatavyo...
Mwisho Ben Pol alimalizia kwa kutweet maneno haya:

No comments:

Post a Comment