Wednesday, 24 April 2013

Endless Fame ya Wema watangaza ajira

Kampuni ya utayarishaji wa Filamu za kibongo nchini ya Endless Fame iliyoko maeneo ya Mwaananyamala Komakoma inayomilikiwa na mwanadadashosti Wema Sepetu imetangaza nafasi ya kazi kwenye kampuni hiyo.
Said by Sepetu;
"UNA UJUZI...UZOEFU NA UELEWA WA KAZI YA SECRETARY..NAFASI BADO INATOLEWA NA ENDLESS FAME.. LETA BARUA YA MAOMBI UKIAMBATANISHA NA PASPORT SIZE PICTURE PAMOJA NA FULL PICTURE OFISINI KWETU...." 
ENDLESS FAME PRODUCTION- MWANANYAMALA KOMAKOMA

No comments:

Post a Comment