Thursday, 18 April 2013

baadhi ya picha za mazishi ya legendary bi kidude

 Rais wa Zanzibar Dr. Shein akiweka mchanga kwenye kaburi la bi kidude
Msanii Diamond akiweka mchanga kwenye kaburi la legendary huyo bi Fatma
Fid Q na Diamond wakitoa dua la kumrehemu Bi Kidude
SOURCE: PICHA KWA HISANI YA BLOGS MBALIMBALI

No comments:

Post a Comment