Thursday, 6 September 2012

amber rose acopy style ya beyonce

Mwanamitindo Amber Rose, mke wa Rapa Wiz Khalifa amecopy style aliyoifanya Beyonce kwenye tuzo za MTV Videos awards zilizofanyika mwaka jana(2011) kwa kuingia na mimba yake kwenye red carpet akiwa na mumewe Jay-Z, Amber Rose ameifanya hii leo kwenye ufunguzi wa tuzo hizo zinazotarajiwa kufanyika siku chache hivi karibuni. Amber ameweka bayana tumbo "mimba" kwa kupiga picha kwenye red-carpet photo point na mumewe Wiz Khalifa kama alivyofanya mwanadada Beyonce.

No comments:

Post a Comment