Thursday, 6 September 2012

alichosema fid q baada ya orijino komedy kusema wimbo wa danger ni wa kucopy






Hizi ni baadhi ya tweet alizotupia mwanamuziki huyo aliyeimba wimbo wa Danger kwenye ukurasa wake wa Twitter baada ya madai yaliyodaiwa na kundi la wachekesha maarufu TZ "Orijino Komedy" kupitia kipindi chao kinachorushwa hewani kila siku ya alhamis saa 1:oo jioni, kwa kudai kwamba wimbo huo ni wa'kucopy na kupest"

No comments:

Post a Comment