Sunday, 5 August 2012

happy birthday mtu wangu wa nguvu

Kwaniaba ya uongozi mzima wa KIBONGOBONGO BLOGSPOT, as a C.E.O napenda kukutakia kila la kheri the evalasting slim-crazy Dee Jay Godo katika maisha yako na mungu akujaalie uweze kuwapa radha wanyama na wadau wako katika kwanja za kijanja @ 4stars Club in Moro-town
HALLAH BWAI!!!!!

No comments:

Post a Comment