Friday, 27 July 2012

HUYU NDIO ASHA NGEDERE ORIJINO

Yule Asha ngedele Orijino anayetajwa na kundi la Orijino 
Komedy amenaswa ndani ya baa moja iliyopo ndani
 ya mji kasoro,na kufunguaka mambo mengi miongoni mwa
 hayo amethibitisha kwamba Mpoki ni kaka yake wa damu.
HABARI KWA HISANI YA CHUMA BLOG
 

No comments:

Post a Comment