Saturday, 28 July 2012

haya ndio maneno ya dr. chameleone kwa shigongo

"NIMESIKA MANENO KUTOKA KWA ERIC SHIGONGO WA GLOBAL PUBLISHERS TANZANIA!ALIVO NIITA MTAPELI AKIWA NA DJ JD.
WAKAENDELEA KUWATAMBULIA ETI UGANDA ISIWADHARAU TANZANIA TENA!
KWA UKWELI VYOTE ALIVYO SEMA NI UOMBI TANZANIA IMSAIDIE BAADA YA KUJI HARIBU VIBAYA MWEYEWE.
HUYU MWEZENU SHIGONGO ATA BAADA YA KUNIZUIA PASSPORT YANGU,NILIVO RUDI KAMPALA,NILIMSAIDIA KUMTAFUTA YULE MTAPELI ALIEMPTAPELI.NIKA MPIGIA SIMU HAJE AMFUATE! MPAKA LEO HAJA JA KAMA NILIWATAPELI GLOBAL PUBLISHERS MBONA WAKASUBIRI INTERPOL ILIWALAZIMISHE WAIRUDISHIENI PASSPORT YANGU UGANDA HUYU MWENZETU SHIGONGO AU SHIWONGO HANA UTARATIBU, NILIPORUDI KAMPALA BAADHA YA KU ZUIA PASSPORT YANGU,
NIKA MSAIDIA KUMTAFUTA MTAPELI ALIE CHUKUA HELA YAKE, BAHATI KUBWA NIKAMPATA, NA NIKAMPELEKA POLIISI ATA MPAKA SAA HIVI YUPO.
NILIMUOMBA SHIGONGO WA GLOBAL PUBLISHERS, AJE WAMALIZANE AKASEMA ETI HANA WAKATI, ANACHOSUBIRI NI HELA YAKE NI PATE PAASPORT YANGU....HIO NI VIZURI KWELI|?
WATANZANIA WENZANGU, MIMI SI WADHARAU,
SHIWONGO AMESHINDWA NA UWONGO WAKE SASA ANA WADANGANYA MSAIDIE!
NAWA MIND WENZANGU BONGO, NA MUSIDANGANYIKIWE KABISA!
ENETRPRENUERS KNOW WHERE TO PUT THERE MONEY, THEY DONT PUT IT IN HANDS OF CONMEN AND TRY TO RECOVER IT FROM INNOCENT CITZENS.
NA HIVI TUNATEGEMEA EAST AFRICA UNION
WE ARE EAST AFRICANS WITH NO BORDERS."
DR JOSE CHAMELEONE

No comments:

Post a Comment