Saturday, 21 July 2012

AJALI MBAYA @ KIHONDA MOROGORO

Hii ajali imetokeo mcha wa leo maeneo ya Kihonda Moro
kwa habari tulizopata ni kwamba dereva wa bodaboda ndio
aliyejeruiwa na mbaka natumiwa hizi picha alikuwa amepelekwa
hospitali akiwa hoi. Chanzo cha ajali hii sikukitambua
kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
(picha na Shillah Da Mkumbo from Facebook)

No comments:

Post a Comment