Tuesday, 10 April 2012

HIZI PICHA ZIMEPIGWA MARUFUKU NA USALAMA KUTUMIWA MITANDAONI

Ni picha ambazo zinamuonesha marehem Steven Kanumba 
akiwa mochwali, zimekuwa zikitumiwa na watu wengi 
kwenye mitandao mbalimbali kama Facebook na Twitter.
Taarifa kutoka vyombo vya usalama na masuala ya kijamii
imepiga marufuku kutumiwa tena

No comments:

Post a Comment