Wednesday, 1 June 2011

USIENDESHE KAMA UMELEWA

Hey guys..ni miongoni mwa matukio ya ajali iliyotokea nchini Uingereza jijin London, gari ndogo aina ya Vits iligongana na Volvo. kwa mujibu ya taarifa nilizopewa ni kuwa jamaa aliyekuwa anaendesha Vits alikuwa amelewa kiasi ambacho alishindwa kuendesha na kufuata sheria za barabarani nakulivamia Volvo na mauti kumfika
PICHA NIMETUMIWA NA MMOJA WA WADAU WA BLOG HII TOKA UK.

No comments:

Post a Comment